Home »
Diary
» DAUDI BALALI: AKIVINJARI DUNIANI NDANI YA AMERICA
DAUDI BALALI: AKIVINJARI DUNIANI NDANI YA AMERICA
Written By Mike Ntobi on Friday, November 16, 2012 | 11:22 PM
Daudi Balali: Ex Tanzanian Governor of Bank Of Tanzania.
NI KWELI BADO YU HAI?
Wote tunafahamu kuwa aliyekuwa gavana wa benki kuu ya Tanzania Daudi Balali alifariki dunia tarehe 16.05.2008 huko Boston, Marekani na kuzikwa huko huko.
Lakini kwa watumiaji wa Twitter watakuwa wanamfahamu Daudi Balali wa kwenye mtandao huo ambaye ameendelea kumuumiza vichwa vya watu wengi kuwa ni nani huyu aliye nyuma ya akaunti hiyo na akiendelea kudai kuwa bado yupo hai?
October 1 alitweet,“Nitakutana na Rais Kikwete na ujumbe wake wiki hii hapa Marekani."
Anavyoonekana ni msomi haswaa na anaishi nje ya nchi. Ni mtu makini, ana hoja, anaijua siasa ya Tanzania na yupo consistent! Hivi karibuni mtu huyo alidai kuwa amekuja Tanzania na kulala kwenye hoteli iliyo karibu na ofisi yake ya zamani.
“In Dar es Salaam, Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kempinski Kilimanjaro Hotel. Feels good to be close to my former office, BoT,”alitweet November 13.
Kutokana na kile anachokiandika anaonekana kuwa ni kada mzuri wa CCM na leo ameibuka na kutabiri anguko la CHADEMA kwa kutweet,“Chadema will die by disintegration. Zitto Kabwe and 3 other prominent members will move to CCM,the rest will form 2 new political parties."
Anasema CHADEMA itavunjika ambapo Zitto Kabwe na wanachama wengine watatu wa chama hicho watahamia CCM na wengi wataanzisha vyama viwili vipya vya siasa.Hata hivyo anadai ameamua kuondoka nchini mapema na kurudi Gaithersburg, Maryland kutokana kuhofia usalama wake.
“I am leaving Dar es Salaam tonight instead of Wednesday on security reasons.”
Mwisho ameendelea kusisitiza kuwa kweli yupo hai kwa kutweet:
I AM REAL. TAKE IT OR LEAVE IT. TWITTER IS THE MESSENGER. THE SURPRISE IS YET TO COME.
Ni nani huyu anayejifanya ni Daudi "Mnyalukolo" wa Mafinga..??
BUY THIS EBOOK NOW! Instant Download Price: $9.99. The whole purpose of revolutionary violence is to destroy at its very roots the institutionalized system of greed which is also the institutionalized system of violence. Today, with the phoney cry of “law and order” the rulers of the imperialist nations attempt to throw the onus of violence on those who are protesting the system under which they live. But the onus is noton them, for violence is the near-monopoly of the state apparatus.
RiRi performs her new song 'Stay', Swift kicks off the show with 'We Are Never Ever Getting Back Together', while Keys and...
Rec
Commt
Deal
INSTANTLY INCREASE YOUR SALES by plugging your products and services into "TRIPLECLICKS!!!" Do you have a merchandise to sell your products? It's Free to list. Pay a fee ONLY when you sell. Sell your product worldwide. Put the marketing muscle of over 100,000 SFI affiliates to work for you, promoting and selling your products in over 190 countries. FREE to Register. Reach millions of potential customers worldwide on the Web. Plug into a new world of customers NOW! at: SIGN UP TODAY FREE!
+ Comments: + 1 Comments:
Heri aendelee kujificha ndiyo salama yake vinginevyo, PATACHIMBIKA AISEE!
Post a Comment