wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 18 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
Labels :
Home » » wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 18

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 18

Written By Mike Ntobi on Saturday, November 10, 2012 | 11:13 PM


wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 18

Link to Wavuti Updates

Posted: 10 Nov 2012 07:08 AM PST


Mh.Naomi Mwakyoma Kaihula kushoto, mama mzazi wa G.K akiwa Bungeni Dodoma Habari hii imenukuliwa kutoka kwenye blogu ya Rulea Sanga - RumaAfrica-- Mheshimiwa Naomi Kaihula ni Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA).Kabla hajawa Mbunge Mh Kaihula alikuwa Mwalimu wa Sekondari ya Tambaza kisha baadaye...

...click the title/link to read more.
Posted: 10 Nov 2012 06:33 AM PST


Zuhura Yunus, BBC Uhamiaji ni suala muhimu ambalo hujadiliwa kila uchaguzi unapokaribia nchini Marekani. Kuna idadi kubwa ya wahamiaji wanaofutalia kwa makini uchaguzi huu kwani kila mmoja ana sababu zake kulingana na anayoyataka kwa mgombea. Je! Wakazi hawa wa Harlem walikuwa na hisia zipi kuhusu uchaguzi wa mwaka huu? Zuhura Yunus anaarifu...

...click the title/link to read more.
Posted: 10 Nov 2012 06:26 AM PST


Picha zote ni kutoka kwenye GSengo.blogspot.com

...click the title/link to read more.
Posted: 10 Nov 2012 02:45 AM PST


Tarehe 6 Novemba, 2012 shirika la Sikika lilifanya mkutano wa wadau wa ugavi na usambazaji dawa na vifaa tiba Tanzania, Lengo kuu likiwa ni kutathmini changamoto za kimfumo wa ugavi na usambazaji dawa katika vituo vya umma nchini Tanzania. Baadhi ya wadau kutoka Wizarani, Wafadhali na Waganga wakuu wakijadili kwa makini changamoto zinatokea...

...click the title/link to read more.
Posted: 10 Nov 2012 02:23 AM PST


Mahojiano kati ya msanii wa bongofleva LINAH na kipindi cha televisheni cha THE SPORAH SHOW cha Uingereza.

...click the title/link to read more.
Posted: 10 Nov 2012 01:23 AM PST




...click the title/link to read more.
Posted: 10 Nov 2012 01:33 AM PST


Habari ifuatayo imenukuliwa kutoka kwenye gazeti la Raia Mwema toleo la 267. MIAKA zaidi ya miwili sasa tangu Profesa Juan Mwaikusa auawe katika mazingira ya kutatanisha nyumbani kwake eneo la Salasala, Dar es Salaam, si familia yake wala umma wenye kuelewa kinachoendelea, wote wako gizani kuhusu wauaji wa gwiji huyo wa sheria. Ndugu kwa upande...

...click the title/link to read more.
Posted: 10 Nov 2012 01:08 AM PST


Baraza la mawaziri nchini Kenya linapendekeza mabadiliko makubwa kwa sheria za ndoa nchini humo. Muswada wa waliowasilisha unapendekeza kuwa wanaume wanaweza kuoa zaidi ya mke mmoja na hata kuharamisha mahari ambapo familia ya mwanaume inalipa mahari hiyo. Pia inataka kuhalalisha watu kuishi pamoja kama mume na mke bila ya ndoa kwa kipindi cha...

...click the title/link to read more.
Posted: 10 Nov 2012 12:36 AM PST




...click the title/link to read more.
Posted: 10 Nov 2012 12:30 AM PST


Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania Dkt. Alberic Kacou akizungumza wakati wa uzinduzi wa 'Education for All Global Report' ya mwaka 2012 inayoandaliwa na UNESCO kila mwaka, ambapo pamoja mambo mengi aliyoyazungumzia pia amesema tukiwa tumebakiwa na si zaidi ya miaka mitatu kufikia mwaka 2015, michakato ya kutimiza Malengo ya...

...click the title/link to read more.
Posted: 09 Nov 2012 01:52 PM PST


Ikiwa ulipata fursa ya kusikiliza (audio na text ya RIPOTI NZIMA, bofya hapa) Spika alipomaliza kusoma ripoti ya Kamati ya Bunge iliyoongozwa na Mhe. Ngwilizi kuhusu tuhuma za rushwa dhidi ya Wabunge na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, utakuwa ulimsikia Mhe. John Mnyika akitaka kuzungumza lakini hakupata fursa hiyo.  Baadaye kwenye...

...click the title/link to read more.
Posted: 09 Nov 2012 01:36 PM PST


Taarifa ya John Nditi, Morogoro via HabariLeo -- BAADHI ya wastaafu wa utumishi wa umma na sekta binafsi wanadaiwa kufariki Dunia mapema pale wanapostaafu kwa sababu mbalimbali ikiwa ya kuishiwa fedha za kiinua mgongo baada ya ajira zao kukoma. Wakala wa Mafunzo kwa njia ya Mtandao (TaGLA), umebainisha hayo katika utafiti wake uliofanyika hivi...

...click the title/link to read more.
Posted: 09 Nov 2012 01:05 PM PST


UPDATES from CNN blog [Updated at 4:52 p.m.] Acting CIA Director Michael Morrell will testify next week before the Senate Intelligence Committee about the fatal attack in Benghazi instead of David Petraeus, according to the office of that committee's chairwoman, Sen. Dianne Feinstein. [Updated at 4:25 p.m.] U.S. Sen. John McCain extolled...

...click the title/link to read more.
Posted: 09 Nov 2012 01:03 PM PST




...click the title/link to read more.
Posted: 09 Nov 2012 01:01 PM PST


Jumuiya ya watumiaji wa huduma mbalimbali nchini kupitia mitandao ya kijamii ya Facebook na Twitter imezindua rasmi shindano la kusaka kampuni zinazotoa huduma na bidhaa mbovu kwa wateja nchini Tanzania.  Jumuiya hiyo inawajumuisha watu wa kada mbalimbali wakiwemo wanasheria, wanaharakati, waandishi wa habari, viongozi wa kisiasa, wafanyabiashara...

...click the title/link to read more.
Posted: 09 Nov 2012 12:57 PM PST


Hiki kipeperushi kiliokotwa Dodoma hoteli (picha: Lukwangule blog) Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, Agustino Matefu akiongea na waandishi wa habari Mjini Dodoma. Anasema bilioni tano zimetengwa kumng'oa Mwenyekiti wa CCM (picha: Lukwangule blog) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Kikwete...

...click the title/link to read more.
Posted: 09 Nov 2012 12:21 PM PST


Taarifa ifuatayo imeripotiwa na GSengo kwenye blogu yake: Habari za sasa toka chumba cha uchaguzi zinamtaja diwani aliyepitia vigingi vingi huku akiwaburuza wenzie kortini mara kadhaa akidai haki zake mh. Henry Matata wa kata ya Kitangiri Ilemela jijini mwanza ameukwaa umeya wa Ilemela ...  Wajumbe wenzake wote kupitia CHADEMA walisusia...

...click the title/link to read more.
Posted: 09 Nov 2012 12:17 PM PST


Bango pekee lililokuwepo wakati Rais Jakaya Kikwete akizindua ujenzi wa bomba la kusafirisha gesi kutoka Mtwara na Lindi kwenda Kinyerezi, Dar es Salaam. Katika gazeti moja linalotoka kila siku limetoa habari kuwa Rais Kikwete alakiwa kwa mabango wakati lililokuwepo ni hilo tu. Aliyeshika bango hilo kwa lengo la kufikisha malalamiko kwa Rais,...

...click the title/link to read more.
Share this article :

Related Posts :

+ Comments: + 4 Comments:

Anonymous
4:11 AM, November 11, 2012

Good information. Lucky me I discovered your blog by chance (stumbleupon).
I've saved it for later!
Also visit my weblog : boxbcn

Anonymous
6:54 PM, November 11, 2012

[url=http://www.formspring.me/fastbuyonline]buy clonazepam no prescription needed[/url]

Anonymous
9:57 AM, December 18, 2012

Hi there! I simply wish to offer you a huge thumbs up for your great information you have got right here on this
post. I am coming back to your site for more soon.
Also visit my website : BCN box

Anonymous
7:18 AM, January 02, 2013

[url=http://bashkirianhoney.webs.com/]honey new zealand[/url]
[url=http://bashkirianhoney.webs.com/buy-bashkirian-honey]mead cambridge[/url]
[url=http://bashkirianhoney.webs.com/buy-bashkirian-mead]buy bashkir honey[/url]
[url=http://bashkirianhoney.webs.com/buy-bashkir-honey]manuka honey cheapest[/url]
[url=http://bashkirianhoney.webs.com/buy-bashkir-mead]honey with comb[/url]
[url=http://bashkirianhoney.webs.com/order-bashkirian-honey]crystallized honey[/url]
[url=http://bashkirianhoney.webs.com/oder-bashkirian-mead]dabur honey[/url]
[url=http://bashkirianhoney.webs.com/order-bashkir-honey]honey nut lo[/url]

Post a Comment

 
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger