wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
Labels :
Home » » wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20

Written By Mike Ntobi on Thursday, November 01, 2012 | 11:34 PM

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20

Link to Wavuti Updates

Taarifa ya habari, Novemba Mosi, 2012

Posted: 01 Nov 2012 01:15 PM PDT


Upelelezi wa kesi inayomkabili kiongozi wa jumuiya na taasisi za Kiislam Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda na wafuasi wake 49 Wanaoshtakiwa kwa makosa mbalimbali likiwemo la uchochezi umekamilika huku kiongozi huyo akiendelea kunyimwa dhamana.

...click the title/link to read more.

Wizara ibadili sheria: Wanaougua kwenye mtihani waruhusiwe kuuahirisha

Posted: 01 Nov 2012 01:07 PM PDT


Hoja hii imewasilishwa na mhusika via anwani pepe, anasema:   KUHUSU WIZARA YA ELIMU NA UTAMADUNI NA BARAZA LA MITIHANI TANZANIA Kwanza kabisa napenda kutoa shukurani zangu kwa Wizara kwa sababu shule zimeongezeka na vijijini na mijini. Hii imefanya jamii ya Watanzania wengi kwenda shule hata kama hajafanya vizuri kwenye masomo. Huko shuleni...

...click the title/link to read more.

Wanafunzi wa S/Msingi wabeba mabango, wapaza sauti Rais Kikwete awasikie

Posted: 01 Nov 2012 12:56 PM PDT


Leo, Novemba Mosi, 2012, Wanafunzi wa shule ya msingi Mringa wamesimama katika barabara ya Ngaramtoni, Arusha wakiwa na mabango ili kumuonesha Raisi Jakaya Kikwete kuwa wanateseka mara baada ya kunyang'anywa shamba la hekari nne na watu wanaodhaniwa kuwa ni wawekezaji. (picha: Upako wa habari blog) Wanafunzi wa shule ya msingi Mringa wakiwa...

...click the title/link to read more.

Mgogoro wa mpaka Malawi na Tanzania: siasa na ukweli - James Zotto, UDSM

Posted: 01 Nov 2012 12:50 PM PDT


Imenukuliwa kutoka kwenye blog ya Markus Mpangala - LunduNyasa.blogspot.com, imeandikwa na James Zotto, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, alipozungumzia kuhusu mgogoro wa ziwa Nyasa kabla ya kuwasilisha utafiti wake kwenye Umoja wa Afrika huko nchini Ethiopia.                                                                                        ...

...click the title/link to read more.

Swahili Fashion Week: Join Emerging Designers Competittion

Posted: 01 Nov 2012 12:36 PM PDT




...click the title/link to read more.

Uganda on it too: Fake mobile phone handsets to be switched off 2013

Posted: 01 Nov 2012 12:19 PM PDT


Cross-posting this from, NewVision.co.ug By Moses Walubiri  Anyone with a counterfeit phone has until July 1, 2013 to dispose of it, the Uganda Communications Commission (UCC) has said. UCC was initially set to switch off fake phones tomorrow, but its decision to postpone for another seven months a policy directive which is bound to affect...

...click the title/link to read more.

video of Abigael Evans: “Im tired of Bronco Bamma and Mitt Romney”

Posted: 01 Nov 2012 12:08 PM PDT


NPR apologizes, "Dear Little Girl: Sorry We Made You Cry About 'Bronco Bamma' And Mitt Romney" by NPR's MARK MEMMOTT Oh my goodness, do we feel bad now: "A 4-year-old Fort Collins girl expressed her frustration over the seemingly never-ending presidential campaign," Denver's 9News reports. "Viewer Elizabeth Evans said she...

...click the title/link to read more.

Uteuzi wa Viongozi mbalimbali katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Posted: 01 Nov 2012 12:04 PM PDT


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amemteua Vuai Mwinyi Mohammed kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar Dkt. Abdul hamid Yahya Mzee imesema kuwa Rais Shein amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa uwezo aliopewa...

...click the title/link to read more.

VodaCom: Ya kwanza kufikisha huduma za mawasiliano ya simu kisiwani Goziba

Posted: 01 Nov 2012 11:55 AM PDT


Wakazi Goziba watakiwa kutumia huduma Mtandao wa Vodacom kuimarisha usalama *       Vodacom yawa ya kwanza kufikisha huduma za mawasiliano ya simu katika kisiwa hicho *       Wakazi wake waweweseka kwa furaha. Wamuhakikishia RC kuulinda mnara kwa nguvu zote *       Wasimamisha shughuli kisiwani kushuhudia uzinduzi Wakazi wa kisiwa cha Goziba...

...click the title/link to read more.

Waziri asema DNA itabaini kuhusu pembe za ndovu zilizonaswa Hong Kong

Posted: 01 Nov 2012 01:58 AM PDT


Nukuu ya gazeti la NIPASHE Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki, amesema shehena na makontena mawili ya meno ya tembo yaliyokamatwa Hong Kong, yatachunguzwa kwa kutumia vinasaba (DNA) ili kubaini kama asili yake ni Tanzania. Aidha, amesema maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wale waliokuwa zamu siku shehena hiyo...

...click the title/link to read more.

Ushauri: Mifuko ya Hifadhi ya Jamii iwe chini ya Wizara moja

Posted: 01 Nov 2012 01:53 AM PDT


Mwanzoni mwa mwezi huu Mfuko wa Pensheni wa PPF uliandaa Mkutano wa Wanachama na Wadau wake mjini Arusha ukiwakutanisha zaidi ya washiriki 500 kutoka ndani na nje ya nchi. Mada nyingi zilijadiliwa, haya ndiyo Mwandishi Wetu aliyokusanya. SERIKALI iangalie uwezekano wa Mifuko yote ya Hifadhi ya Jamii kusimamiwa na wizara moja ili kurahisisha...

...click the title/link to read more.

Earthquake of magnitude 4.6 in Tanzania: Did you feel it?

Posted: 01 Nov 2012 01:35 AM PDT


M4.6 – TanzaniaWednesday, October 31, 2012 at 15:15:06 UTC Wednesday, October 31, 2012 at 18:15:06 Local 5.33°S 34.83°E Depth: 10km --- data source: earthquake.usgs.gov

...click the title/link to read more.

Pres. Zuma drops case over Zapiro’s ‘rape’ cartoon ‘to promote free speech’

Posted: 01 Nov 2012 12:51 AM PDT


Cartoon: Zapiro, The Sunday Times, South Africa, September 9, 2008. (c) 2012, Zapiro and Zapiro.com (All Rights Reserved) Cartoon: Zapiro, The Sunday Times, South Africa, October 28, 2012. (c) 2012, Zapiro and Zapiro.com (All Rights Reserved) Cross-posted from PRI The World In South Africa, a four-year saga over a political cartoon is...

...click the title/link to read more.

International course on: Facilitating multi-stakeholder processes and social learning

Posted: 31 Oct 2012 11:33 PM PDT


Facilitating multi-stakeholder processes and social learning Using participatory approaches for institutional change 02 – 20 September 2013, Wageningen, The Netherlands   -      NFP Fellowships available – apply before 05 February 2013   -   Dear Sir/Madam,   Please find below more information on the International course on: Facilitating...

...click the title/link to read more.

Mwenyekiti Mpya, Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa - Abdallah Majura Bulembo

Posted: 31 Oct 2012 11:08 PM PDT


Abdallah Majura Bulembo Refa wa zamani wa soka aliyewahi pia kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Mara, Abdallah Majura Bulembo, ameibuka kidedea na kuwa Mwenyekiti Mpya wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM Taifa baada ya kuzoa kura nyingi na kuwaacha mbali wapinzani wake John Barongo na Martha Mlacha (Mbunge wa Viti Maalum CCM). Akitangaza matokeo...

...click the title/link to read more.

Please vote for our friends’artistic boy: Matthew7829

Posted: 31 Oct 2012 09:33 PM PDT


Matthew7829 has been selected from Reedy Creek Elementary as a finalist for this week's grade 4th-6th "Artist of the Week" award... but he/she needs your vote to win!  The student who receives the most online votes between now and Saturday November 3 will be selected as the featured Artist of the Week.  To cast your vote, simply...

...click the title/link to read more.

Chelsea 5:4 Manchester United - All goals, highlights

Posted: 31 Oct 2012 09:03 PM PDT




...click the title/link to read more.

Serikali --- Mfanyabiashara --- Wewe : Bisha? @MasoudKipanya

Posted: 31 Oct 2012 08:55 PM PDT


katuni via marcotibasima.blogspot.com

...click the title/link to read more.

Africa anti-Malaria subsidies: Good idea or Wrong path?

Posted: 31 Oct 2012 08:49 PM PDT


cross-posting the following article from NPR.org, written by SCOTT HENSLEY A month ago NPR wrote about results from an experiment in getting the most effective malaria drugs to more people who need them in Africa. The idea was to subsidize the cost of drugs, sometimes to a price point below their wholesale cost, and make them more widely...

...click the title/link to read more.

This posting includes an audio/video/photo media file: Download Now

photos, video: The wrath of hurricane Sandy,the Superstorm - Officer dies after rooftop rescue saving family

Posted: 31 Oct 2012 08:44 PM PDT


After cutting a destructive path through the Caribbean, Hurricane Sandy caused extensive damage along the East Coast this week. Sandy made landfall in southern New Jersey and brought with it major flooding, travel disruption, structural damage, and power outages. New York City was especially hard hit. The storm system was so large ­-- nearly 1,000...

...click the title/link to read more.
Share this article :

Related Posts :

+ Comments: + 4 Comments:

Anonymous
2:23 PM, November 02, 2012

This design is spectacular! You certainly know how to keep a reader amused.
Between your wit and your videos, I was almost moved to start my own blog
(well, almost...HaHa!) Fantastic job. I really enjoyed what you had
to say, and more than that, how you presented it. Too cool!
My blog ... timex heart rate monitor

3:07 PM, November 02, 2012

Luxery hotel with nice services, food, staffs, we enjoy the environment of the hotel.....

Anonymous
6:01 AM, November 10, 2012

I'm not sure where you're getting your info, but great topic.
I needs to spend some time learning more or
understanding more. Thanks for fantastic information
I was looking for this info for my mission.
Feel free to surf my homepage :: Oyunu

Anonymous
8:28 AM, November 10, 2012

I simply could not leave your site prior to suggesting that I
really enjoyed the standard info a person supply on your visitors?
Is gonna be again frequently to inspect new posts
Feel free to surf my weblog ; luban

Post a Comment

 
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger