Makubwa Haya!..Kutoka Facebook Ya Mwigulu Nchemba:Ati Wabunge Saba Wa CHADEMA Kuhamia CCM! | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
Labels :
Home » » Makubwa Haya!..Kutoka Facebook Ya Mwigulu Nchemba:Ati Wabunge Saba Wa CHADEMA Kuhamia CCM!

Makubwa Haya!..Kutoka Facebook Ya Mwigulu Nchemba:Ati Wabunge Saba Wa CHADEMA Kuhamia CCM!

Written By Mike Ntobi on Friday, December 28, 2012 | 10:55 PM




Hodihodi KIBAHA! WANACCM NA WANANCHI WOTE WA MIKOA YA DSM, PWANI NA MORO, NAWAKARIBISHA KTK MKUTANO WA HADHARA NITAKAOHUTUBIA KIBAHA. NJOO UPATE UKWELI, UPATE MATUMAINI UANZE MWAKA VIZURI. NITAWAPOKEA MADIWANI WAWILI WANAOHAMIA CCM TOKEA CHADEMA. TAYARI DIWANI WA IHANJA AMEJIUZURU JANA UDIWANI KWA KUKATAZWA KUSHIRIKI SHUGHULI ZA MAENDELEO NA VIONGOZI WA CHADEMA TAIFA. NITAHIMIZA SHUGHULI ZA MAENDELEO, KUKAGUA MIRADI NA PIA NITAONGELEA WABUNGE SABA 7 WA CHADEMA WALIOOMBA KUHAMIA CCM TOKEA CHADEMA NA MAMBO YALIOWASIBU.
Share this article :

Related Posts :

+ Comments: + 1 Comments:

Anonymous
4:03 AM, December 29, 2012

Residential housing borders the park within feet of the trail on both the east and west sides of
the lake. From the boardwalk I have the lake on my left and on my right across maybe twenty feet of water is
the western shore.
Also visit my weblog - www.testallthings.org

Post a Comment

 
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger