Mikakati ya CHADEMA kuteka waandishi; hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini? | MIKENTOBIMIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
Home »
Politics
» Mikakati ya CHADEMA kuteka waandishi; hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?
Mikakati ya CHADEMA kuteka waandishi; hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?
Written By Mike Ntobi on Friday, May 24, 2013 | 8:37 AM
Mikakati ya CHADEMA kuteka waandishi
Wakuu nimeipata hii youtube, inatisha na huwezi kuamini. mikakati mikubwa inachorwa na kutekelezwa na watu tunaowaamini ni wanamapinduzi na wanamageuzi. Hii sasa hatari. Jionee na kusikiliza mwenyewe ukweli huu kutoka kwenye youtube. Huyu anayeongea na kupanga mikakati ni MKURUGENZI WA ULINZI NA USALAMA WA CHADEMA WILLIFRED LWAKATARE akitoa maelekezo kwa vijana wake kwenda kutekeleza tukio la kumteka mwandishi mwandamizi wa mwananchi ambaye ni threat kubwa kwa CHADEMA na ambaye ni rafiki mkubwa wa Zitto. Anatolea mfano wa matukio mengine waliyoyatekeleza kama lile la kumwagiwa tindikali MUSSA TESHA huko Igunga na kuuawa kwa kijana katika vurugu za CHADEMA na polisi huko Morogoro ambapo tuliambiwa ameangukiwa na kitu chenye ncha kali...
Kwa kipindi cha miaka miwili mitatu sasa kumekuwa na matukio ya kinyama na ya uvunjaji haki za binadamu dhidi ya watanzania wachache wenye moyo wa uzalendo wa kuleta haki na usawa kwa jamii ya kitanzania iliyonyanyasika kwa kipindi kirefu. Hivi majuzi Absalom kibanda mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ameteswa na kufanyiwa unyama wa hali ya juu huku jamii ikibaki na maswali yasiyokuwa na majibu. Aliteswa mpiganaji DR ULIMBOKA wakati yupo kwenye harakati za kuitetea sekta ya afya hapa nchini. kijana ISSAH alimwagiwa tindikali huko igunga huku kukitokea mauaji ya kusikitisha ya mwandishi DAUDI MWANGOSI mkoani iringa na mwananchi asiye na hatia huko morogoro. Watu wenye uchungu na nchi yao wamechoka wameona sasa basi... Tukio la KIBANDA ni mwendelezo wa matukio yanayofuata.. Hivi karibuni mtasikia tukio lingine kubwa dhidi ya mwandishi mwandamizi wa Mwananchi Communications Ltd...... sikiliza video. Huyu anayeongea ni mchora dili mkuu kwa maelekezo ya mwenyekiti na katibu wake mkuu.
Hii ni part 4, part zingine zimekwisha tekelezwa Ila ZITAWEKWA HAPA WAKATI MAHSUSI UKIFIKA...
CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?
BOMB SHELL CHADEMA na UTEKAJI NYARA WAANDISHI Wakuu naomba tutafakari kwa kina hii video ya mkakati wa utekaji nyara ambao ulikua ukielezewa hapa kwenye video na mkuu wa kitengo cha usalama (utekeji) ndani ya chadema, huyu ni Wilfred Lwakatare zamani alikua akifanya kazi na CUF, Je hapa alikua akim-target nani??????????????????????????????? je ni Dk Ulimboka?? je ni Kibanda??.
Naona kuna jamaa anasemwa kuwa ni mkali wa kuchonga plan lakini haonekani mahali!!!
This may turn out to be very interesting...
Kutokana na hii clip naanza kupata mwanga.... Huyo aliyeiposti hii clip LAZIMA atakakuwa kwa njia moja ama nyingine anahusika. Baada ya kuipata, akaamua kumshambulia Kibanda ili ionekane mzungumzaji kwenye hii clip ndie muuaji.... Kwa hiyo hata Ridhiwani alipoposti ile kejeli facebook alikuwa na maana kubwa sana na huenda anajua undani wa kila kitu... Undani ni kwamba kitengo cha usalama (utekaji) chadema kinahusika sana,inabidi turudi nyuma mpaka kwenye kifo cha chacha wangwe,pengine huyu bwana ndio ali-engineer ile "ajali".
It's not gonna help either, all in all huyo anaezungumza ni mkuu wa kitengo cha usalama (utekaji) cha chadema, anaitwa Wilfred Lwakatare, that is a reality, sio tetesi.. unless aikane video hii, sura yake na sauti yake! Michango naona imepungua kwa kuwa Chadema kwa video hii imeshikwa pabaya, na naishangaa polisi kumuacha huyu muuaji akiendelea kutamba licha ya ushahidi huu wa wazi
Ila cha muhimu, "Hizi zote ni nadharia". Ili zithibitike inabidi polisi watoe taarifa ya uchunguzi wao kwanza.
Yuko mtu mmoja yeye alijaribu kuwa tofauti na clip hii, na anasema "Magamba hata mfanyeje, hamtaweza kuubadilisha ukweli uliopo akilini mwa watanzania kwamba Dr. Ulimboka na Kibanda wametekwa na Mbwa wa Magamba na nyie mitakataka mnaokuja kuandika upuuzi ili kutaka kuwapoteza watu, subirini ukombozi ukifika, hamtatutoroka!"
============================== ============================ MANENO YALIYOANDIKWA KUAMBATANA NA VIDEO YANASOMEKA HIVI: ============================== ============================
Published on Mar 12, 2013
Video; mikakati ya mateso ya kibanda na mwandishi mwandamizi wa gazeti la mwananchi; mhusika mkuu huyu hapa. Kwa muda sasa hapa tanzania kumekuwepo na matukio ya kusikitisha ya kuteka na kutesa wanaharakati wa haki za binadamu akina mwangosi, ulimboka na wengine..
Sisi wazalendo na wapenda amani ya tanzania tunasema tumechoka na sasa basi tunaweka wazi kila kitu ili umma ujue kinachoendelea..kweli daima itakuweka huru... video hii inaonyesha sehemu tu ya matukio yaliyokwishatekelezwa na chadema , mpango mzima ukiratibiwa na mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chama willifred lwakatare kwa maelekezo ya mwenyekiti mh.
Mbowe na katibu mkuu dr slaa. Katika video hii lwakatare anatoa maelekezo kwa kijana wake kwenda kutekeleza utekaji wa mwandishi wa kampuni ya mwananchi huku akitolea mfano wa matukio ambayo chama kiliyatekeleza kama lile la igunga ambapo mussa tesha alimwagiwa tindikali na lile la morogoro ambapo kijana mmoja alifariki katika vurugu za maandamano ya chadema ambapo polisi walitoa taarifa kuwa kijana huyo ameangukiwa na kitu kizito. Hii video ni sehemu tu ya video zingine ambazo tutazitoa wakati muafaka ukifika..
BUY THIS EBOOK NOW! Instant Download Price: $9.99. The whole purpose of revolutionary violence is to destroy at its very roots the institutionalized system of greed which is also the institutionalized system of violence. Today, with the phoney cry of “law and order” the rulers of the imperialist nations attempt to throw the onus of violence on those who are protesting the system under which they live. But the onus is noton them, for violence is the near-monopoly of the state apparatus.
wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 14 Huduma zinatotolewa kwenye banda la VodaCom kwenye mk...
Rec
Commt
Deal
INSTANTLY INCREASE YOUR SALES by plugging your products and services into "TRIPLECLICKS!!!" Do you have a merchandise to sell your products? It's Free to list. Pay a fee ONLY when you sell. Sell your product worldwide. Put the marketing muscle of over 100,000 SFI affiliates to work for you, promoting and selling your products in over 190 countries. FREE to Register. Reach millions of potential customers worldwide on the Web. Plug into a new world of customers NOW! at: SIGN UP TODAY FREE!
Post a Comment