Msanii wa Bongo Fleva, Raheem Nanji ‘Bob Junior’ akiwa na mkewe na mwanaye. |
Msanii wa Bongo Fleva, Raheem Nanji ‘Bob Junior’. |
Akizungumza na mwandishi wetu, msanii huyo alisema kuwa kipindi chote wakati ameachana na mkewe alikuwa akimkumbuka sana mwanaye ambaye alikuwa akiishi na mama yake, Halima.
“Wakati nimetengana na mke wangu kitu kikubwa nilichokuwa nikikimisi kilikuwa ni uwepo wa mwanangu, nashukuru Mungu kwa sasa nimerudiana naye,” alisema Bob Junior.
Post a Comment