10/26/12 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
[ New Posts ] : Habari Mpya Zote - HAPA CHINI!!!
Labels :

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 17

Written By Mike Ntobi on Friday, October 26, 2012 | 11:28 PM

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 17

Link to Wavuti Updates

Mbele ya hatari? Utajilinda vyovyote, hata iwe kuvaa ‘helmet full time’

Posted: 26 Oct 2012 02:02 PM PDT


Rafiki yangu mmoja huwa ananikumbusha mara kwa mara, "Roho na uhai haviuzwi Kariakoo Subi!"  Akimaanisha kuwa, mtu unaweza kupoteza vingi maishani mali na hata viungo vya mwili, na kuna uwezekano mkubwa wa kuvipata vitu gulioni au madukani na hata baadhi ya viungo vya mwili hupatikana vya bandia, ila si roho na uhai! Hivyo ukishavipoteza, ujue...

...click the title/link to read more.

Asante Madaraka Nyerere kwa simulizi la “Wazanaki na Vitungo” inayoelezea jinsi Wazee wetu walivyotumia “kibanziko” kuzuia aibu ya“kufumania” na wivu wa mapenzi

Posted: 26 Oct 2012 01:34 PM PDT


Madaraka Nyerere Mzee wa Kizanaki anapokaribia nyumbani kwake baada ya giza kuingia huanza kuimba kwa sauti ya juu wimbo unaojulikana kama kibanziko. Kwa desturi ni wimbo unaoimbwa na mzee ambaye amekunywa pombe kidogo, na madhumuni ya wimbo huu ni kuwafahamisha watu wote watakaomsikia kuwa mzee mwenye nyumba anarudi nyumbani. Mwanaume yoyote...

...click the title/link to read more.

Wakenya wanapora. Wabara wanapora. Ninyi vipi?

Posted: 26 Oct 2012 01:29 PM PDT




...click the title/link to read more.

After a 40-year hiatus, malaria is returning to Greece

Posted: 26 Oct 2012 01:14 PM PDT


cross-posting the following, "Malaria Creeps Back Into Greece Amid Health Budget Cuts" article from:  npr.org --- Some 70 cases have been reported there this year, and at least 12 people appear to have been infected in the country. (The others picked up the disease elsewhere.) That's a concern for health workers because it means malaria may...

...click the title/link to read more.

Taarifa za habari TBC, ITV: Siku ya Sikukuu ya Idi; Waangukwa na ukuta

Posted: 26 Oct 2012 12:10 PM PDT


Watu watatu wamekufa baada ya kuangukiwa na ukuta mkubwa wa zege uliojengwa juu ya geti na kusababisha kuminywa ndani ya gari walilokuwa wamepanda hadi miili yao ilipokuja kuondolewa na Wasamaria wema kwa kutumia chombo maalum cha kubeba vitu vizito kunyanyua ukuta huo na kuwakuta wamepoteza maisha. Serikali imesema haitasita kuwachulia...

...click the title/link to read more.

‘The reason why I don't visit rich people’ ...another one

Posted: 26 Oct 2012 12:02 PM PDT


Question: "What would you like to drink ... fruit juice, soda, tea, milo, chocolate, or coffee?" Answer: "Tea please" Question: Ceylon tea, herbal tea, bush tea, honey bush tea, ice tea or green tea?" Answer: " Ceylon tea please"  Question: "How would you like it? Black or white?" Answer: "White please"  Question: "Milk,...

...click the title/link to read more.

Ngoitoktok Ngorongoro

Posted: 26 Oct 2012 03:52 AM PDT


Ngoitoktok ni neno la Kimasai lenye kumaanisha kitu kilicho katika hali kama ya kuchemka - chemchem. Kwa Ngorongoro hilo ni jina la picnic site moja maarufu sana ndani ya crater ambapo wageni huenda kupata mlo wao wa mchana. Ni sehemu iliyo pembeni ya hilo bwawa ambalo chanzo chake ni chemchem iliyopo eneo hilo hilo. (picha: Wildness Safaris...

...click the title/link to read more.

New map dividing Lake Nyasa/Malawi is legal - Tanzania

Posted: 26 Oct 2012 03:52 AM PDT


Tanzanian High Commissioner to Malawi, Patrick Tsere cross-posting this from NyasaTimes.com -- The Tanzanian government has said  the current move it has taken of reclaiming the portion of Lake Malawi is not taking advantage that Malawi has a female president, Mrs Joyce Banda Speaking during the Day Break Malawi program on Capital Radio on...

...click the title/link to read more.

Somewhere in Tanzania... Worst form of child labor?

Posted: 26 Oct 2012 03:52 AM PDT


THE boys above take a rest after walking for a long distance searching for banana customers in Mwanza city recently. A worst form of child labour? (Photo by Robert Okanda/DailyNews) Watoto wakazi wa kata ya Sinde mtaa wa Kijani Bichi, Ilolo, Mbeya wakitumikishwa kubeba matofali kwa ujira wa shilingi 10 kwa kila tofali....

...click the title/link to read more.

Makala za Raia Mwema toleo la 265

Posted: 26 Oct 2012 02:18 AM PDT


Mbunge ala mamiloni - ...Kampuni hiyo ilikuwa inasambaza matairi ya magari kwa TANESCO ikiwa na mkataba wa matairi yenye thamani ya shilingi milioni 387, "Yule mbunge ndiye aliyekuwa akija TANESCO wakati wa kufunga mkataba. Mkataba ulikuwa awali wa matairi 652. Baadaye idadi hiyo ilipungua yakaletwa matairi 356, lakini pamoja na matairi kupungua,...

...click the title/link to read more.

Mvua? Alosema utabiri lazima utimie nani?

Posted: 26 Oct 2012 02:12 AM PDT


Italian Scientists Get 6 Years for L'Aquila Earthquake Statements By Stephanie Pappas, LiveScience Senior Writer | LiveScience.com – Mon, Oct 22, 2012 news.yahoo.com Six Italian scientists and a government official have been sentenced to six years in prison over statements they made prior to a 2009 earthquake that killed 309 in the town of...

...click the title/link to read more.

CWT yakata rufaa kupinga mgomo kusitishwa

Posted: 26 Oct 2012 02:02 AM PDT


Imeandikwa na Flora Mwakasala via HabariLeo CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimekata rufaa katika Mahakama ya Rufaa, kupinga uamuzi wa kusitisha mgomo uliotolewa na Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, kwa madai ulikuwa batili. Katika rufaa hiyo iliyowasilishwa juzi mahakamani hapo na Wakili wake, Gabriel Mnyele, CWT inadai kuwa uamuzi huo uliotolewa...

...click the title/link to read more.

Machafuko Tanzania: NAMJOF yalaani; Hay-atul Ulamaa yatoa tamko

Posted: 25 Oct 2012 10:46 PM PDT


Tamko hilo la kurasa saba likisomwa mbele ya waandishi wa habari Oktoba 25, 2012. (picha zote via K-VIS blog) Pamoja na mambo mengine, katika tamko hilo lenye kurasa 7, wameutaka umma wa Kiislamu, kusherehekea kwa amani Sikukuu ya Idul al Adh-haa, inayoanza Ijumaa Oktoba 26, 2012, wakiwatahadharisha waumini wa Kiislamu, wasipandwe na munkar...

...click the title/link to read more.

Harambee ya Semina ya Mwakasege, Novemba 23 - 25, Silver Spring, MD

Posted: 25 Oct 2012 10:32 PM PDT




...click the title/link to read more.

Maaskofu wa PCT waomba radhi kwa kitendo cha Quran kukojolewa

Posted: 25 Oct 2012 09:49 PM PDT


Habari imeandikwa na Lucy Lyatuu via HabariLeo BARAZA la Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (PCT) limeomba radhi kwa kitendo cha kukojolewa Kitabu Kitukufu cha Korani. Pia limeiomba Serikali kushirikisha mabaraza yote ya kidini kuunda tume huru itakayosimamia na kuishauri juu ya uendeshaji taasisi na jumuiya za kidini...

...click the title/link to read more.

Ujumbe wa video wa salam za sikukuu ya Idi kwa wana-wavuti wote!

Posted: 25 Oct 2012 09:47 PM PDT


Ujumbe huu amenitumia rafiki kwenye simu, nami nikauona mali sana, nimeufurahia, nikawakumbuka watembeleaji, wasomaji na watoa maoni wa wavuti.com, nikasema haswa!, huu unawafaa ndugu zangu. Nakutakieni sikukuu njema ya Idi.

...click the title/link to read more.

Tanzania identified as leading exporter of illegal ivory; Poachers decimate Elephants

Posted: 25 Oct 2012 02:32 PM PDT


Cross-posting this from U.S.'s NPR.org --- Tanzania has been identified as the leading exporter of illegal ivory in recent years. An estimated 10,000 elephants are being slaughtered in the country annually! "The word 'ivory' rang in the air, was whispered, was sighed. You would think they were praying to it." — Joseph...

...click the title/link to read more.
Get our toolbar!Get our toolbar!
  • Alexaporn - XXX (+18) Search!Alexaporn - XXX (+18) Search!
 
Sell Your Products At TripleClicks!Share Links Earn Money!
cafepress.com/nicemike
Sale Online!
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger