11/03/12 | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
[ New Posts ] : Habari Mpya Zote - HAPA CHINI!!!
Labels :

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 14

Written By Mike Ntobi on Saturday, November 03, 2012 | 11:43 PM

wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 14

Link to Wavuti Updates

Taarifa ya habari, 3 Novemba 2012

Posted: 03 Nov 2012 11:35 AM PDT




...click the title/link to read more.

For Sale: A plot in Kibada, Kigamboni, Dar es Salaam

Posted: 03 Nov 2012 09:22 AM PDT




...click the title/link to read more.

video ya wimbo “Karate” wa J.Kassam feat. Juma Jazz

Posted: 03 Nov 2012 05:21 AM PDT


Wanakwambia, kwenye karate kila kiungo kinatumika. Halafu                Huu mchezo siyo mchezo wa business               Huu mchezo ni wa physical fitness                Huu mchezo ni wa self defence               Usijifunze kwa ajili ya kufanya ushenzi

...click the title/link to read more.

U.S. debate: Nimejifunza mambo haya - Omary Ubuguyu

Posted: 03 Nov 2012 05:18 AM PDT


US DEBATE: NIMEJIFUNZA MAMBO HAYA:- Kiongozi wa US huwa anaomba ridhaa ya wananchi wamchague na kila anachosema au kuahidi kina maana kwa wapiga kura na kinaweza kumfanya ashinde au ashindwe. Unlike Tanzania Kiongozi anajua kila kitu na anachokisema ndio slogan ya chama na washabiki wake!Hadi asubuhi CNN wanatoa takwimu kuwa bado kuna 51% ya...

...click the title/link to read more.

Wamaasai Wakitumbuiza, Wamependeza.

Posted: 03 Nov 2012 05:17 AM PDT


Alhamisi, Novemba Mosi, 2012, kikundi cha Kimasai kikiendelea kutoa burudani kwa wananchi walioudhuria uzinduzi wa hospitali mpya ya Olrturumet wakati wakimsubiri Muheshimiwa Rais Kikwete afike. (picha: Libeneke la Kaskazini blog)

...click the title/link to read more.

Ni nguvu za Kisiasa au nguvu za Rushwa - Godfrey Dilunga

Posted: 03 Nov 2012 05:12 AM PDT


ILIKUWA mwaka 1962, jijini Dar es Salaam, Rais Julius Nyerere kwa wakati huo alifungua semina ya Mkutano wa Vijana Duniani. Katika hotuba yake ya ufunguzi iliyopewa jina la The Second Scramble, alitetea ujamaa akisema utajiri wa nchi unapaswa kutatua kero za wananchi kwa usawa na kero za wachache. Kwa wakati huo, miaka 51 iliyopita, Tanzania...

...click the title/link to read more.

Ni nguvu za Kisiasa au nguvu za Rushwa @Godfrey Dilunga

Posted: 03 Nov 2012 05:12 AM PDT


ILIKUWA mwaka 1962, jijini Dar es Salaam, Rais Julius Nyerere kwa wakati huo alifungua semina ya Mkutano wa Vijana Duniani. Katika hotuba yake ya ufunguzi iliyopewa jina la The Second Scramble, alitetea ujamaa akisema utajiri wa nchi unapaswa kutatua kero za wananchi kwa usawa na kero za wachache. Kwa wakati huo, miaka 51 iliyopita, Tanzania...

...click the title/link to read more.

Mayai yanayotagwa na Umasikini @MasoudKipanya

Posted: 03 Nov 2012 04:50 AM PDT




...click the title/link to read more.

9 things they don’t tell you in Guidebooks about Tanzania

Posted: 03 Nov 2012 04:34 AM PDT


Cross-posting this blog post from stuff.co.nz written by Kim Vinnell. --- Every day in Tanzania I come across something that surprises me, confuses me, or makes me stop and look around for someone else to share a "what the heck is that" moment with. Usually there's no one else there so I just take the little Tanzania gem and be on my way. But now...

...click the title/link to read more.

Kuna watu ni wachafu, halafu tena kuna hawa...

Posted: 03 Nov 2012 04:32 AM PDT




...click the title/link to read more.

Serikali yaamua kuagiza ARVs kutoka India

Posted: 03 Nov 2012 02:50 AM PDT


Taarifa hii imenukuliwa kutoka kwenye gazeti la HabariLeo, imeandikwa na Maulid Ahmed -  Dodoma SERIKALI imeamua kuagiza dawa zote za kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI (ARVs) kutoka India, baada ya Kiwanda cha Tanzania Pharmaceutical Industries Limited (TPI) kudaiwa kuzalisha dawa feki. Aidha, imepanga kutoa tamko lake rasmi bungeni...

...click the title/link to read more.

Hotuba ya Mbowe akisifu juhudi za Rais Kikwete katika miundombinu Tanzania

Posted: 02 Nov 2012 06:00 PM PDT


Mbunge wa Jimbo la Hai ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe akizungumza wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa Barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani Hai mkoa wa Kilimanjaro Oktoba 31, 2012. Ili kutizama na kusikiliza, tafadhali bofya picha hapo juu kufungua ukurasa wa youtube wenye...

...click the title/link to read more.

Is Romney’s Son gunning to steal Ohio vote by rigging voting machines?

Posted: 02 Nov 2012 06:00 PM PDT


No, Romney's Son Is Not Gunning To Steal Ohio Vote By Rigging Voting Machines Story by NPR's by TAMARA KEITH Have you heard the story that's swept the liberal blogosphere in recent days about how Mitt Romney's son Tagg is going to steal the election for his dad? It's not true, but like all good conspiracy theories, it is based on kernels of...

...click the title/link to read more.

Rais Kikwete azindua Taasisi ya Nelson Mandela - Arusha

Posted: 02 Nov 2012 05:56 PM PDT


Rais Kikwete amezindua rasmi Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela - Arusha (NM-AIST). Zifuatazo ni picha za IKULU kuhusu ufunguzi huo.

...click the title/link to read more.
Get our toolbar!Get our toolbar!
  • Alexaporn - XXX (+18) Search!Alexaporn - XXX (+18) Search!
 
Sell Your Products At TripleClicks!Share Links Earn Money!
cafepress.com/nicemike
Sale Online!
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger