Sarafu (Coin) ya Nchi Fulani...!?@#?? | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
Labels :
Home » » Sarafu (Coin) ya Nchi Fulani...!?@#??

Sarafu (Coin) ya Nchi Fulani...!?@#??

Written By Mike Ntobi on Thursday, December 12, 2013 | 12:01 PM

View image on Twitter


HII NI SURA MOJA (MBELE) YA SARAFU YA NCHI FULANI - "GUESS...Which is that Country?"

Hivi kama ingekuwa ni dhahiri kwamba hii ni sarafu ya nchi mojawapo hapa Duniani, ungependekeza nchi hiyo iwe ni ipi? 

Maana katika hali ya kawaida picha, umbo, mchoro, sura ya kitu huwa inawakilisha kitu fulani kwa wale wanaoona, wanaosoma au kuangalia kitu hicho. Sasa hii ni sura mojawapo (mbele ya sarafu) inayoashiria kitu; kwamba kama ingekuwa ni sarafu inayotumika.... sijui ingefaa kutumika na nchi gani vile ambayo Serikali yake hufanya mambo yanayowakilishhwa ana mchoro katika picha hapo juu. 

Ina maana Serikali hiyo imewageuza watu wake kama ..."w...naw...k.." DUUUHH!!! 
Hiyo ni changamoto ya ukuaji wa sanaa yetu na katika kuwasilisha jumbe mbalimbali kwa jamii ili kutafakari na kuamua mambo ambayo yanahitajika kufanywa na yasiyohitajika kufanywa na vikundi mbalimbali vikiwemo:- Vikundi vinavyoongoza, vinavyoongozwa na hata vilivyo kati (haviongozi wala haviongozwi).

Hiyo ni Salamu ya kuukaribisha mwaka mpya 2014 katika ujio mpya wa "Friends4ever Blog". Zaidi itakuwa ni Globalization, yaani Lugha karibu zote Duniani zitatumika kuwasilisha ujumbe kupitia Blog hii.

Ahsanteni, na Karibuni...!!!

Share this article :

Related Posts :

Post a Comment

 
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger