Smile we care ni Shirika lisilo la Serikali ambalo ni la KIMATAIFA linalowezesha wanachama wake kwa mfumo wake kwa kujikwamua kiuchumi.Makao makuu ya SMILE WE CARE yapo NIGERIA na mwanzilishi wake anaitwa Mr *COMR INYANG JAMES FRIDAY.*
*SMILE WE CARE* imeingia Afrika kwa mara ya kwanza ikiwemo TANZANIA mnamo 01/02/2019 na tayari imesambaa katika nchi zingine kama; Ghana, Every Coast, Togo, South Afrika, Botswana, Zimbabwe, Kenya, Uganda, Zambia, Namibia, Guinea n.k.
Mtu wa kwanza kuipokea SMILE WE CARE hapa TANZANIA anaitwa *DIRECTOR JUMA DEDU* mnamo 01/02/2019,na sasa imesambaa na kuwafikia wengi kwa mfumo wake wa ONLINE MATRIX SPONSORING, Ofisi za SMILE WE CARE kwa Tanzania zipo NGARA KAGERA na POSTA MPYA JENGO LA KITEGA UCHUMI DAR ES SALAAM, tayari SMILE WE CARE imeshapata usajili rasmi hapa TANZANIA mnamo 18/04/2019,hivyo inatambulika kisheria.
Mwanzilishi wa SMILE WE CARE *COMR INYANG* na Board yake wana uzoefu wa muda mrefu sana katika maswala ya maendeleo ya jamii,na waliazimia kuona ni jinsi gani wanaweza kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja kwenda juu zaidi na kuondokana na umasikini.Hivyo wakaanzisha kifurushi kidogo kwa kushirikishana na kusaidiana na watu wengine DUNIANI kwa lengo la kutatua tatizo la uchumi katika jamii,ili kila mmoja afikie malengo yenye mafanikio makubwa.Maana *"UMOJA NI NGUVU,------ ".*
Lengo hasa ni kugeuza maisha kwa ngazi ya Kaya,Familia,Jamii,Taifa na Kimataifa kwa ujumla.Hivyo SMILE WE CARE imekufikia sasa kwa lengo hilo hilo la kukuinua kiuchumi na kukuongezea kipato na kukuondolea umasikini.
*SMILE WE CARE IS THE BEST.*
https://www.smilewecarengo.com
Post a Comment