MIKENTOBI | A Blog with updated posts about events and current issues! MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
[ New Posts ] : Habari Mpya Zote - HAPA CHINI!!!
Labels :

Record Breaking Freefall Attempt Won’t Be Until October 14

Written By Mike Ntobi on Sunday, October 14, 2012 | 12:43 PM

A disappointed Felix Baumgartner exited his capsule on Oct. 9, 2012 after the flight was aborted due to high winds.
Credit: Red Bull Stratos.


Record Breaking Freefall Attempt Won’t Be Until October 14

Windy weather in New Mexico likely won’t improve for a few days, and so the Red Bull Stratos team is targeting Sunday, October 14 for the next try for Felix Baumgartner to attempt a record-breaking freefall where he could break the sound barrier with his body. Meteoroligsts ruled out flights for today, Wednesday, and Thursday. The winds were the problem on Tuesday when the launch of the helium balloon that was to bring Baumarter to 36.5 km was aborted.
“As we inflated the balloon and got Felix into the capsule at about 11:42 a.m., we experienced a gust of wind that took us above 40 km/h at the peak of the balloon,” said Red Bull Stratos Project Director Art Thompson, adding the gust had dangerously twisted the balloon in a way that could have damaged the delicate polyethylene material. “The integrity of the balloon at that point is really unknown and unacceptable to use for manned flight because we were not sure what would happen as we launch. Our biggest problem was the wind at the 230 meters level.”
Wind speeds cannot exceed 5km/h or there is a chance the envelope could tear when the support team tries to release it. “We knew that we only had a small window today which we finally did not hit,” added Thompson.
The 43-year-old extreme jumper said he was surprised by the decision to abort the flight on Tuesday but optimistic he will still get his chance to break the 52-year-old record set by U.S. Air Force Colonel Joe Kittinger, who jumped from 31.3 km (102,800 ft). Kittinger is working as an adviser for Baumgartmer, and was the CAPCOM during the preparations for Tuesday’s attempt.
“I want this to happen this year,” Baumgartner said. “We’ve made it so far. There’s no turning back. We’re here, we’ve got the helium and we’re good to go. Whether that’s tomorrow or the first day next week, I don’t really care.”
The current schedule shows a 6:30 MDT (12:30 UTC) time for the launch attempt on Oct. 14. Universe Today will post a live feed of the jump on our website.

The partially inflated balloon during the Oct. 9 attempt was tossed around by the wind, forcing an abort to the launch.
Credit: Red Bull Stratos


Judge Manento aweka wazi madudu ya RPC Iringa

ASEMA RPC KAMUHANDA ALIVUNJA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA KUZUIA
MIKUTANO YA CHADEMA, AMSHUKIA TENDWA, KAMATI YA NCHIMBI YAPINGWA

Jaji Manento amkaanga RPC Iringa

TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, imetoa ripoti yake kuhusu mauaji ya mwandishi wa habari wa Channel Ten, Daudi Mwangosi ikisema Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Michael Kamuhanda alikiuka Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 2002, huku ikiisafisha Chadema kuwa haikukosea kufanya mkutano.

Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Kiongozi Mstaafu, Amiri Manento alisema jana alipokuwa akisoma ripoti hiyo kuwa Kamuhanda alikiuka sheria hiyo Sura ya 322 kwa kuingilia kazi za OCD wa Mufindi kuzuia shughuli za Chadema wakati hakuwa mkuu wa polisi wa eneo hilo.

Ripoti hiyo ni ya tatu kutolewa, baada ya juzi, Kamati ya Kuchunguza Mauaji hayo iliyoundwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Emmanuel Nchimbi iliyokuwa chini ya Jaji Steven Ihema kuwasilisha ripoti yake pamoja na Baraza la Habari Tanzania, kuweka hadharani ripoti yake.

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ni taasisi huru ya Serikali iliyoanzishwa mwaka 2001 ikiwa na majukumu ya kulinda, kutetea na kuhifadhi haki za binadamu nchini. Jaji huyo mstaafu alisema kutokana na hilo, amri ya RPC Kamuhanda kutaka yapigwe mabomu ya machozi, haikuwa halali kwa kuwa ilitolewa na mtu ambaye hakuwa na mamlaka kisheria.

"Haya ni matumizi mabaya ya mamlaka na pia ni ukiukwaji wa misingi ya utawala bora," alisema. Pia Tume hiyo imeishukia hatua ya Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa kuviandikia vyama vya siasa kuvitaka kusitisha shughuli zao kwa sababu ya sensa kuwa inakinzana na Sheria ya Takwimu Na. 1 ya mwaka 2002, inayotoa fursa kwa wananchi kuendelea na kazi zao wakati wa sensa.

"Vilevile, ni kinyume na Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 2002 kifungu cha cha 11(a) na (b) inayotoa fursa kwa vyama vya siasa kufanya shughuli zake bila ya kuingiliwa,"alisema. Jaji Manento alisema wamejiridhisha kuwa tukio lililosababisha kifo cha Mwangosi, limegubikwa na uvunjwaji wa haki za binadamu na ukiukwaji wa misingi ya utawala bora.

"Tume imejiridhisha kuwa polisi wamevunja haki ya kuishi, haki ya kutoteswa na kupigwa, haki ya usawa mbele ya sheria na haki ya kukusanyika kutoa maoni," alisema Jaji Manento. Alisema haki hiyo ni kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, Azimio la Kimataifa Haki za Binadamu, Mkataba wa Kimataifa kuhusu Haki za Kiraia na Kisiasa na Mkataba wa Mataifa ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu na Watu.

Kuhusu Chadema Jaji Manento alisema Chadema kama chama cha siasa chenye usajili wa kudumu chini ya Sheria ya Vyama vya Siasa, kinaruhusiwa kufanya maandamano na kuwa na mikutano ya kujitangaza baada ya kutoa taarifa kwa ofisa wa polisi wa eneo husika.

Alisema baada ya taarifa kutolewa chama husika kinatakiwa kipewe ulinzi na vyombo vya usalama. Jaji Manento alisema Ibara ya 8(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano inaeleza kwamba Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki ya kijamii, aidha ibara 18(b) na (C) ya Katiba inaeleza kuwa kila mtu anayo haki ya kufanya mawasiliano yaani kutoa maoni au habari na haki ya kutoingiliwa katika mawasiliano yake.

"Haki hii imekiukwa kwa kiasi kikubwa na Jeshi la Polisi katika tukio la Kijiji cha Nyololo kwa kuwa waandishi wa habari na wafuasi wa Chadema walizuiwa na polisi kufanya shughuli zao za kupata habari na za kisiasa," alisema. Jaji Manento alisema ukiukwaji wa misingi ya utawala bora unazorotesha au unafifisha uhuru wa habari.

Maoni na Mapendekezo Jaji Manento alisema tume yake imependekeza kuwa Kamati za Ulinzi na Usalama za Mikoa na Wilaya, ziwe makini na vitendo vya uvunjwaji wa haki za binadamu na ukiukwaji wa misingi ya utawala bora vinavyofanywa na mamlaka mbalimbali kwenye maeneo yao. Jaji Manento alisema kamati hizo zihusike moja kwa moja na usalama wa wananchi na mali zao kwa kujadili masuala yote ya kiusalama kabla hatua hazijachukuliwa na vyombo vinavyotekeleza sheria.

Alisema viongozi wa Chadema na wafuasi wao waepuke malumbano na vyombo vya dola kwa kutii maagizo yanayotolewa na vyombo hivyo bila shuruti. Jaji Manento alisema ni muhimu polisi na Msajili wa Vyama vya Siasa waepuke kufanya uamuzi au vitendo vinavyoibua hisia za ubaguzi au upendeleo miongoni mwa jamii wakati wanapotekeleza majukumu yao ya kisheria.

"Mfano Jeshi la Polisi lilizuia mikutano ya Chadema kwa sababu ya sensa wakati huohuo CCM walikuwa wakifanya uzinduzi wa kampeni huko Zanzibar,” alisema Jaji Manento na kuongeza: "Rai ya Msajili wa Vyama vya Siasa haikuzingatiwa kwa upande wa CCM Zanzibar huku Chadema walishurutishwa na polisi kutii rai hiyo.

" Ripoti ya Waziri Nchimbi yapondwa Siku moja baada ya kamati iliyoundwa na Dk Nchimbi kuanika ripoti yake, watu wa kada mbalimbali wametoa maoni tofauti, wengi wakiipinga kwa kile walichoeleza kuwa haikukidhi haja.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana, walisema ripoti hiyo imeeleza mambo mengi, lakini haijakidhi haja kwa kuwa haikuweka wazi tukio hilo lililomuua Mwangosi. CUF imesema kuwa ripoti iliyotolewa na Kamati, imepikwa kwa lengo la kuitetea Serikali, Polisi na Waziri husika.

As a mexican, I think everyone should know this

As a mexican, I think everyone should know this


I think everyone should know this...!

Mm, a taco made with a flour tortilla is still a taco (google taco arabe). Trust me, i'm mexican. Btw, those things that taco bell sells are not tacos, are bended tostadas. 

How to open a watermelon

How to open a watermelon

It's that much easy, just follow the procedure...! You must be wearing clothes as the above picture... etc.
Get our toolbar!Get our toolbar!
  • Alexaporn - XXX (+18) Search!Alexaporn - XXX (+18) Search!
 
Sell Your Products At TripleClicks!Share Links Earn Money!
cafepress.com/nicemike
Sale Online!
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger