Written By Mike Ntobi on Friday, November 30, 2012 | 12:51 PM
Watu wawili wamekutwa wamegandiana kutokana na kuvunja amri ya sita (kufanya mapenzi) kwenye gesti moja huko temeke jijini dar es salaam masahibu hayo yamewakuta wawili hao baada ya baada ya njema mmojakuchukua mke wa mtu ambaye inasemekana amefungwa kitamaduni kana kwamba yeyote atakayejaribu kumgusa kinyume na taratibu basi atanasa na hivyo ndivyo ilivyokuwa iliyoiba mke wa mtu na kwenda naye kula raha nyumba ya wageni hapo temeke Hadi kufikia sasa watu hao wapo hospitalini ya temeke ambapo jitihada za kuwatenganisha kwa wataalam zimeshindikana,Na mme wa mwanamke ameibuka na kudai alipwe milioni 5 za Kitanzania ili aweze kuwachanisha hao wawili.
Huu ni umati wa watu waliofurika kuwashuhudia wawili hao waliofungishwa ndoa ya pili baada ya kujiiba awali, na sasa mume aliamua kumtega mke wake.
Baada ya watu hao kufikishwa Hospitalini hapo, ilifuata mkakati mzito wa kuficha taarifa hizo ili zisivute hisia za watu wengi. Lakini kama ujuavyo Bongo - Darisalama - Jiji la Umbea,.... watu walipata habari na ilileta tafrani kidogo kabla kuanzisha mkakati wa kuficha habari hizo ili angalau kuzuia mkusanyiko wa watu uliokuwepo na waliokuwa wakiongezeka dakika baada ya dakika.
Hizi ni baadhi ya picha za gari aina ya Harrier T478 BVR alilopatanalo ajali Marehemu Sharo Millionair hadi kupelekea umauti wake. Habari zaidi kuhusu picha za ajali ya gari, pamoja na tukio zima kabla ya ajali, endelea kusoma hapa chini...
Habari za uhakika kuhusiana na chanzo cha kifo cha msanii Hussein Ramadhan a.k.an Sharo milionea ni kwamba gari yake aina ya Toyota harrier ilipata pancha tairi la upande wa kulia na kukosa mwelekeo kisha ikaacha njia na kuelekea mtaroni lakini ule mtalo haukuizuru sana gari hiyo ikaruka na kuingia katika shamba la mahindi.
Kitu kilichoshangaza wengi ni sehemu ambayo si hatarishi sana kiudereva sababu iko tambarare na kona si kali eneo hilo.
Written By Mike Ntobi on Thursday, November 29, 2012 | 11:21 PM
It is UNBELIEVABLE...!, But it is TRUE...! While all others were dancing and sharing the beats, these "two Rough Riders" were busy dancing the music of the same beats, but doing it in a different kind of amazing style...!
They were so busy in breaking up the sixth commandment of GOD! That action seams to be taking place in unawareness of others.
It has been spoken most of times that activities like this one are taking place in almost every corner of Entertainment Places nad Centers. Mostly, being Disco Halls, Dance, Ocean Beaches, Bars, Packing Sites and in most populated entertainment places.
Be Careful with partners who requests for "GOING FOR A SHORT CALL OF NATURE", because it is in those places where most unexpected couples do meet and clear their "THIRST" before coming back where she was before.
Written By Mike Ntobi on Wednesday, November 28, 2012 | 3:38 AM
Fake Lips...!
The common perception in bed is that when a woman moans, it’s from something you’ve done. Either you’ve finally found the little man in the boat, you’ve hit her G-spot or the foreplay has preheated the oven.Not quite...!
BUY THIS EBOOK NOW! Instant Download Price: $9.99. The whole purpose of revolutionary violence is to destroy at its very roots the institutionalized system of greed which is also the institutionalized system of violence. Today, with the phoney cry of “law and order” the rulers of the imperialist nations attempt to throw the onus of violence on those who are protesting the system under which they live. But the onus is noton them, for violence is the near-monopoly of the state apparatus.
wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 17 Uamuzi wa pingamizi la kesi ya Ubunge ya Godbless Lem...
Rec
Commt
Deal
INSTANTLY INCREASE YOUR SALES by plugging your products and services into "TRIPLECLICKS!!!" Do you have a merchandise to sell your products? It's Free to list. Pay a fee ONLY when you sell. Sell your product worldwide. Put the marketing muscle of over 100,000 SFI affiliates to work for you, promoting and selling your products in over 190 countries. FREE to Register. Reach millions of potential customers worldwide on the Web. Plug into a new world of customers NOW! at: SIGN UP TODAY FREE!