Posted: 14 Nov 2012 09:37 AM PST
Jumatano, Novemba 14, 2012 Tume ya Mabadiliko ya Katiba inatarajia kuendelea na awamu ya nne na ya mwisho ya mikutano yake na wananchi wa mikoa sita kuanzia siku ya Jumatatu, Novemba 19, 2012 hadi Jumatatu, Desema 19, 2012 kwa lengo la kukusanya maoni yao kuhusu Katiba Mpya. Mikoa hiyo ni Dar es Salaam, Arusha, Simiyu, Geita, Mara na Mjini...
...click the title/link to read more.
|
Posted: 14 Nov 2012 09:34 AM PST
Msanii wa muziki kwa jina, "Diamond Platnumz" kupitia tovuti yake anaelezea mkasa wa ajali iliyompata hivi majuzi: Tarehe 10 ya mwezi wa 11 siku ya juma mosi ni moja ya siku ambazo sitozisahau maishani mwangu. Baada ya kumaliza majukumu yangu ya kila siku, nilikwenda masaki kumwona mmoja wa jamaa zangu wa karibu nikiwa na Blogger wangu Bestizzo...
...click the title/link to read more.
|
Posted: 14 Nov 2012 09:26 AM PST
Meneja Mkuu wa Multichoice Tanzania Bw. Peter Fauel, akitangaza Punguzo la Asilimia Kumi ya Malipo ya mwezi kwa wateja wa Televisheni kwa Vipindi vya DStv likaloanza hapo kesho, ambapo amesema punguzo hilo litawawezesha wateja wao kulipia huduma za Matangazo ya Televisheni ya kituo hicho kwa gharama nafuu. Pia amesema Offer hiyo ya Punguzo la bei...
...click the title/link to read more.
|
Posted: 14 Nov 2012 09:13 AM PST
Rambirambi za msiba wa MARIAM HAMISI Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana kuomboleza kifo cha msanii wa Kikundi cha Sanaa cha Tanzania One Theatre (TOT), Ndugu Mariam Hamisi ambaye alifariki dunia alfajiri ya kuamkia jana, Jumanne,...
...click the title/link to read more.
|
Posted: 14 Nov 2012 09:04 AM PST
Baraza la Famasi linapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu Tangazo la Chuo Kikuu Cha Ekernforde - Tanga kuanza udahili (admission) wa wanafunzi katika ngazi ya cheti na diploma katika pharmaceutical sciences, katika gazeti la Mwananchi la tarehe 10 Oktoba 2012 toleo ISSN 0856-7573 Na. 04490. Baraza la Famasi ni Taasisi ya Serikali iliyoko chini...
...click the title/link to read more.
|
Posted: 14 Nov 2012 03:20 AM PST
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM-NEC) kimekutana katika Ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya Chama, maarufu kama White House mjini Dodoma,l eo tarehe 14 Novemba 2012. Kikao hicho kilijadili juu ya kuunda na kupitisha majina yaliyopendekezwa na Mwenyekiti wa Chama Mapinduzi Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, ya...
...click the title/link to read more.
|
Posted: 14 Nov 2012 01:22 AM PST
WAKATI Chama cha mapinduzi kikikamilisha mchakatowake wa chaguzi zilizo anzia tangu ngazi ya shina na kufikia kilele chake ngazi ya taifa leo huko Kizota mjini Dodoma kuna mambo mengi tumejifunza. Pamoja na mambo mengine mengi yaliyojitokeza kwenye chaguzi hizo yakiwemo madai ya kukithiri kwa rushwa ambazo hata Mwenyekiti wa Chama hicho...
...click the title/link to read more.
|
Posted: 14 Nov 2012 01:17 AM PST
|
Posted: 14 Nov 2012 01:11 AM PST
Additional investments in Family Planning would save Developing Countries more than $11 Billion a year and save lives of Tanzanian Women Zanzibar, Wednesday, 14 November 2012: Making voluntary family planning available to everyone in developing countries would reduce costs of maternal and newborn health care by $11.3 billion annually, according...
...click the title/link to read more.
|
Posted: 14 Nov 2012 01:05 AM PST
|
Posted: 14 Nov 2012 12:20 AM PST
PHOENIX (Reuters) - An Arizona woman, in despair at the re-election of Democratic President Barack Obama, ran down her husband with the family car in suburban Phoenix on Saturday because he failed to vote in the election, police said on Monday. Holly Solomon, 28, was arrested after running over husband Daniel Solomon following a wild chase that...
...click the title/link to read more.
|
Posted: 14 Nov 2012 12:16 AM PST
|
Posted: 13 Nov 2012 07:18 PM PST
Story by Louis Kolumbia, The Citizen correspondent, TheCitizen.co.tz, Dar es Salaam. The national power utility company yesterday allayed fears of a protracted load shedding, saying the countrywide power blackout on Monday was caused by a sudden disruption in gas supply to electricity generation turbines in the city from the Songo Songo wells in...
...click the title/link to read more.
|
Posted: 13 Nov 2012 06:10 PM PST
Ndugu zangu, Mwalimu Julius Nyerere aliamini, kuwa fedha ni matokeo , na wala si msingi wa maendeleo. TANU kama Chama kikaamini hivyo, na umma nao uliaminishwa hivyo. Mwalimu alifikiri kama Aristoteles, mwanafalsafa wa Uyunani ya Kale. Aristoteles aliamini, kuwa fedha kama yenyewe haimpi mwanadamu furaha, lakini, malengo ya kutumika kwake...
...click the title/link to read more.
|
Posted: 13 Nov 2012 05:55 PM PST
Rais Jakaya Kikwete amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM kwa kura 2395 kati ya 2937 zilizopigwa ambazo ni sawa na asilimia 99.92% Akitangaza matokeo hayo Spika wa Bunge la Tanzania ambaye ndiye alikuwa msimamizi, Anne Makinda alisema kwamba Mwenyekiti alipata ushindi wa kura 2,395 kati ya kura 2,937 zilizopigwa, kura mbili zilisema...
...click the title/link to read more.
|
Post a Comment