IRENE UWOYA ASHAREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTOA MISAADA MBALIMBALI | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
Labels :
Home » , » IRENE UWOYA ASHAREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTOA MISAADA MBALIMBALI

IRENE UWOYA ASHAREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTOA MISAADA MBALIMBALI

Written By Mike Ntobi on Sunday, December 30, 2012 | 11:05 AM



Tofauti na mastaa wengine ambao huangusha party ya nguvu kusherehekea siku zao za kuzaliwa, hivi karibuni Irene Uwoya aliamua kufanya kitu tofauti katika siku yake ya kuzaliwa, December 18.

Muigizaji huyo mrembo aliamua kwenda kwenye hospitali ya Mwananyamala kutoa misaada mbalimbali kwa wagonjwa waliolazwa.

irene 4
irene 3
irene 2
irene 1
Share this article :

Related Posts :

Post a Comment

 
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger