MABINTI WA VIDEO YA TYGA WAMSHITAKI KWA KUZIANIKA CHUCHU ZAO KINYUME NA MAKUBALIANO | MIKENTOBI MIKENTOBI - A Blog with updated posts about events and current issues!
NEWS UPDATE :
Over a 100,000 ways to Earn Online!Sale Online!
Labels :
Home » , » MABINTI WA VIDEO YA TYGA WAMSHITAKI KWA KUZIANIKA CHUCHU ZAO KINYUME NA MAKUBALIANO

MABINTI WA VIDEO YA TYGA WAMSHITAKI KWA KUZIANIKA CHUCHU ZAO KINYUME NA MAKUBALIANO

Written By Mike Ntobi on Sunday, December 30, 2012 | 8:48 AM



Warembo watatu wanaonekana kwenye video ya ngoma ya Tyga’s“Make it Nasty” wanadai ‘chuchu’ zao zimeonekana bila ruhusa yao.


tyga-lawsuit



Alissa Rae Ross, Azia Davis, na Elizabeth Velasquez wamefungua mashtaka kwa kudai kuwa walipofanya usaili kwaajili ya video hiyo kulikuwa na kipengele kisemacho “There will be NO nudity involved in the video, and all the girls will be tastefully shot.”

Kwa mujibu wa madai yao Velasquez, Davis na Ross waliombwa wakati wa kushoot video hiyo July 2, kutokea wakiwa vifua wazi katika baadhi ya scenes lakini walihakikishiwa kuwa ‘chuchu’ zao zingefunikwa ama kufanyiwa editing.

Katika mkataba wao wasichana hao wanadai kuambiwa kuwa “drty” version ya video hiyo isingetoka lakini ikatoka. 
Wasichana hao wanashtaki kwa kukiuka mkataba, kuingiliwa usiri wao na madai mengine.
Share this article :

Related Posts :

Post a Comment

 
Support : MIKENTOBI | Creating Website | Johny Template | Mas Template | UviOo | SFI

Copyright © 2010 - 2014. MIKENTOBI - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Modified and Published by MIKENTOBI
Proudly powered by Blogger