Hadi kufikia sasa watu hao wapo hospitalini ya temeke ambapo jitihada za kuwatenganisha kwa wataalam zimeshindikana,Na mme wa mwanamke ameibuka na kudai alipwe milioni 5 za Kitanzania ili aweze kuwachanisha hao wawili.
Mwanaume na Mwanamke waliogandana huko Temeke
Written By Mike Ntobi on Friday, November 30, 2012 | 12:51 PM
Hadi kufikia sasa watu hao wapo hospitalini ya temeke ambapo jitihada za kuwatenganisha kwa wataalam zimeshindikana,Na mme wa mwanamke ameibuka na kudai alipwe milioni 5 za Kitanzania ili aweze kuwachanisha hao wawili.
Picha za Gari alilopata nalo ajali Sharo Millionair
Kitu kilichoshangaza wengi ni sehemu ambayo si hatarishi sana kiudereva sababu iko tambarare na kona si kali eneo hilo.
Same Hall, Same Music,.... BUT, "DIFFERENT STYLE OF DANCING"
Written By Mike Ntobi on Thursday, November 29, 2012 | 11:21 PM
"WOMEN MOANING" He Discovered: Her Moans Do Not Equal Pleasure
Written By Mike Ntobi on Wednesday, November 28, 2012 | 3:38 AM
Sex Stress
Written By Mike Ntobi on Tuesday, November 27, 2012 | 11:50 PM
Donna Feldman shares: "If You Start Dressing Better, You Could Date Her.
Donna Feldman Fashion Tips Video
"Ask Men - Originals"
YOUNG COSERVATIVES - What It Means To Be A Young, Moderate Conservative.
BREAKING NEWS: BURIANI HUSSEIN RAMADHANI MKIETI aka "SHARO MILIONEA" au "SHARO BARO"
Naye Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Afande Constatine Masawe, amethibitisha kutokea kwa kifo cha wa Sharobaro, kufuatia ajali ya gari katika kijiji cha Lusanga, Muheza, mkoani Tanga ambako ndio nyumbani kwao.......
"MPAKA SASA MWILI UPO HOSPITALI TEULE YA MUHEZA ,TANGA"
Friends4Ever imepokea habari hizi kwa mstuko na masikitiko makubwa kwani nyota ya Sharo Milionea ndiyo ilikuwa inaanza kung'ara katika anga za muziki pamoja na matangazo ya biashara, akiwa kayapumulia pumzi mpya wa ubunifu na weledi katika kupeleka ujumbe kwa watazamaji ambao wakubwa na wadogo walimpenda.
Mola aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi - Amina
TUTAZIDI KUTOA UPDATE:
Namkariri Kamanda wa Polisi Tanga akisema “leo majira ya saa mbili usiku kwenye barabara ya Segera Muheza mtu mmoja alietambulika kwa jina la Hussein Ramadhani Mkieti au Sharo Milionea akiwa anaendesha gari namba T478 BVR Toyota Harrier akitokea Dar es salaam kwenda Muheza alipofika eneo la Maguzonizonga wilayani Muheza hilo gari lake liliacha njia na kupinduka mara kadhaa na kusababisha kifo chake, mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye hospitali Teule ya wilaya ya Muheza”
Kamanda amesema hakuna kona kali sana wala ubovu wa barabara kwenye sehemu aliyopata ajali Sharo Milionea, katikati ya Segera na Muheza ambapo gari imehifadhiwa mahali salama kwa sababu haitembei.
HII NI SAUTI YA KAMANDA POLISI - TANGA
STUDENTS WITH SEXUAL ADDICTION...! DO THEY MAKE USE OF ME TIMELY AND PROPERLY...!?
Written By Mike Ntobi on Monday, November 26, 2012 | 3:53 AM
Are there enough encouragement, guidelines and long term plans in providing education initiative to assist in ensuring that new generations of Tanzanians in our schools across the country get access to HIV, sexuality and life skills education through extracurricular materials?
NNACHEKA TU.., LAKINI MUME HUYU UTATA, "ANASAKWA NA POLISI, KISA UNGA..!?$%"
Written By Mike Ntobi on Sunday, November 25, 2012 | 8:16 PM
Aunty Ezekiel na Mumewe Sunday baada ya Harusi huko Dubai. |
Upekuzi uliofanywa na mwandishi wetu wa kutaka kubaini kwa nini bwana harusi hakutaka kumaliza ishu hiyo mwenywe, ndipo taarifa hizo zilipobainika kuwa jamaa huyo kuna ishu nzito aliyoifanya bongo na ndiyo sababu kubwa ilimfanya asije hata kuonekana kwa wakwe zake.
Chanzo cha habari kilichozungumza namtandao huu kimedai kuwa awali kabisa kabla ndoa haijafungwa jamaa alitakiwa kuja nnchini lakini hakuweza kukubali kwa kujua kuwa anatafutwa na polisi na endapo akionekana atakuwa kwenye matatizo.
Mtu huyo aliongeza kuwa kuna uwezekana hata wanafamilia wa msanii huyo wakashindwa kumuona kabisa mwanaume huyo kwani ishu inayoendelea ni kwamba jamaa ameshatoa taarifa kuwa hawezi kuja nchini na mtu anayemtaka basi ni lazima apange safari amfuate.
UKATA NI TATIZO LINALOFANYA STUDENTS WA UDOM KUFANYA UCHANGU LIVE..!
Taarifa ya habari ya Star tv ya saa mbili usiku ya tarehe 23/11/2012 imeeleza kuwa wanafunzi wa kike katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wanadaiwa kufanya biashara ya ukahaba katika maeneo mbalimbali ya starehe mjini Dodoma!
Habari hii inasikitisha hasa ukizingatia umuhimu wa wasomi hawa katika Tanzania na hatari inayoweza kuwapata kama taarifa hii ina ukweli.
Kama jamii tujiulize, tatizo ni nini mpaka mtu wa level kama hiyo kuamua kuvaa vichupi na kujiuza kwenye clubs na sehemu zingine??
HATUFUNDISHWI UKAHABA BONGO MOVIE.....HIYO NI TABIA YA MTU", TUNA-MAKE MONEY.....JACK WA CHUZ
Written By Mike Ntobi on Saturday, November 17, 2012 | 3:45 AM
JACK WA CHUZ |
Kauli ya msanii huyo inaweza kuwa na ukweli ndani yake kwani wasanii wengi wametoka sehemu mbalimbali ndani ya taifa hili, hivyo inawezekana uchangudoa alikuwa nao kitambo lakini hakuna anayefundishwa tabia hiyo akiingia bongo movie.
NI USALITI HUU....!!! JACK PATRICK AKITESA NA MARTIN KADINDA... MUMEWE FUNDIKIRA AKISOTA JELA.
AUNT EZEKIEL NA MUME WAKE MR. DEMONTE - DUBAI
Mr and Mrs Demonte.... "Aunt Ezekiel na Mumewe", siku ya harusi yao Dubai. |
Mr and Mrs Demonte.... "Aunt Ezekiel na Mumewe", siku ya harusi yao Dubai. |
Mr and Mrs Demonte.... "Aunt Ezekiel na Mumewe", siku ya harusi yao Dubai. |
"BIKINI ZIMENIFANYA NIWE NA MIBONYEO KWENYE MAKALIO YANGU".....AUNT LULU
DAUDI BALALI: AKIVINJARI DUNIANI NDANI YA AMERICA
Written By Mike Ntobi on Friday, November 16, 2012 | 11:22 PM
Daudi Balali: Ex Tanzanian Governor of Bank Of Tanzania. |
wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 15
Written By Mike Ntobi on Thursday, November 15, 2012 | 3:31 AM
wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 15
|
- Awamu ya nne na ya mwisho ya ukusanyaji maoni - Tume ya Mabadiliko ya Katiba
- Diamond: Kilichosababisha ajali niliyoipata
- MultiChoice yapunguza malipo ya mwezi kwa asilimia kumi
- Salamu za Rais Kikwete za pole kwa vifo vya Mwandoro na Mariam
- Ufafanuzi wa Baraza la Famasi kuhusu Chuo cha Ekenforde kudahili Wafamasia
- CCM safu mpya: Kinana, Nchemba, Vuai, Zakhia Meghji, Asha-Rose Migiro
- CCM imeendelea kudumaza demokrasia
- Hapa wanafundishwa hesabu au ‘mlege’?
- State of the World Population, Report 2012
- Wakudata: Nitajie kirefu cha ‘simu’
- Yikes! Arizona woman runs down husband with car for not voting
- Hekaya za @MasoudKipanya na Kipanya
- TANESCO explains countrywide blackout
- Fedha inapokuwa malengo, badala ya nyenzo - Maggid Mjengwa
- Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa CCM-NEC: Mwenyekiti, Makamu, Wajumbe
wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20
wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20
|
- Uh oh! After Pres. Obama’s re-election 30 U.S. States petition to secede
- Taarifa ya habari Novemba 13, 2012
- Racist attacks increase on streets of Athens, Greece
- CCM-Diaspora watia fora Mkutanoni, Kizota, Dodoma
- Kale kabinti kalikounguzwa moto na Ma Mdogo kamekatwa mkono wake
- Ukaguzi wa ujenzi wodi za wagonjwa wa fistula CCBRT
- Kipi cha mno kwa Dkt. Kigwangalla na Bashe zaidi ya siasa na uongozi?
- Basi la Dar Express almanusura lipinduke
- Wiki ya Kimataifa ya Ujasiriamali yazinduliwa Dar kwa mafunzo kwa vitendo
- Chakula na Watoto yatima, Tanzania Mitindo House ikiadhimisha miaka 5
- Habari kwenye gazeti la Jamhuri kuhusu uwekezaji eneo la Polisi Oysterbay
- Huyo ndiye ‘Dokii’ wa sasa, ukimwona mwingine ujue ni wa maboksi!
- Uwezo wa kujua kama tutakufa maskini tunao - Meshack Maganga
- Jijini Dar es Salaam, Novemba 13, 2012
- Serikali yaunda bodi mpya ya muda ya kuratibu mafuta
- How to open an offshore account for money laundering; Kumbe Mzee wa vijisenti yawezekana vile ‘vijisenti’ si...
- Rais Mwai Kibaki kuzindua usafiri wa treni kwa jiji la Nairobi
- Samsung Galaxy S3 surpasses iPhone in sales
- Wanafunzi waliofeli darasa la saba wakutwa madarasani, shule za Serikali
- Stay tuned for The Sporah Show’s hot corner
wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 16
wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 16
|
- Taarifa ya habari Novemba 12, 2012
- Tigo Tanzania launches solar phone charging equipment
- AfDB to fund Tanzania-Kenya highway
- Resignation of U.S. General Petraeus and Tanzania`s moral values
- ‘Mama’ amchoma mtoto kwa moto, Amlisha kinyesi
- Serikali kujenga uwanja wa ndege wa Kimataifa huko Serengeti
- Bunge la Mafarisayo, Masadukayo na Wananchi Wagagagigikoko
- What will ‘Four more years’ of Pres. Obama mean for Africa?
- Walemavu wa kusikia waitaka haki yao ya kupewa leseni ya udereva
- I can assure you, there is no power rationing!
- Setback for first malaria vaccine trial
- Nakata kushoto, kama hutaki shuka...
- Polisi: Usalama barabarani yakusanya Bilioni 11/= ndani ya miezi nane
- Kubwia ‘unga’ ni kuchungulia kaburi - Mwiru, aliyekuwa ‘teja’ asema
- Buigiri wapata awamu ya pili ya mikopo ya MWEI kutoka Vodacom
- CCM: Matokeo ya chaguzi za nafazi za Wajumbe wa NEC
wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20
Written By Mike Ntobi on Sunday, November 11, 2012 | 11:21 PM
wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 20
|
- Hotuba ya M/Kiti wa CCM, Rais Kikwete kufungua Mkutano Mkuu wa 8 wa CCM
- Msikilize Maalim Seif alipohutubia K/Maiti
- Mwembe na Maembe yake, Nansio, Ukerewe
- Security message for U.S. Citizens from the Embassy in Tanzania
- Michoro inavyoonesha Makao Makuu ya CCM yatakavyokuwa
- Obama na siri ya ushindi - Maggid Mjengwa
- Madereva huendesha wakinywa ‘viroba’ vya pombe katika maji ya chupa
- Usikose! Leo nitakuwa kwenye ‘Mimi na Tanzania’ - Maggid Mjengwa
- Taarifa ya Tume ya Utumishi wa Mahakama kuhusu tuhuma dhidi ya sifa za Majaji
- Ripoti ya Mkemia Mkuu: Zipo mashine bandia za CD4, vipimo feki vya VVU
- CCM: Majina yaliyopendekezwa Uenyekiti Taifa; Umakamu Bara, Zanzibar
- Kwa hiyo eneo la Polisi Oysterbay limeuzwa kwa mwekezaji?
- Kwa hiyo eneo la Polisi Oysterbay limeuzwa kwa mwekezaji?
- Computer, Math: Is what Nate Silver used to accurately predict Pres. Obama’s victory
- Bashe: “Lowassa atagombea Urais 2015, nitampigia kampeni, nitampa kura yangu”; Amtaja Membe (Mb, W) kuhusika na vipeperushi dhidi ya Rais Kikwete
- Jama! Kituo cha afya Magugu kimejaa kunguni
- Hoteli ya Lidila yakatiwa umeme kwa ‘kuchakachua’ mita
- Unaweza kusema uongo huu Danganyika tu, ukakubaliwa na ukabaki salama
- President detains Son over unpaid hotel bill
- Harusi ya Godfrey Monyo na Gadiosa Lamte
wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 18
Written By Mike Ntobi on Saturday, November 10, 2012 | 11:13 PM
wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 18
|
- Crazy GK na ndoto ya Mama yake Mhe. Naomi Kaihula
- Uhamiaji Marekani: Zuhura Yunus wa BBC anaripoti kutoka Harlem, NY
- Mauaji ya Barlow: Vifaa vilivyofichwa shimoni vyafukuliwa (picha)
- picha: Mkutano wa Sikika na Wagavi, Wasambazaji dawa na vifaa tiba
- Linah katika mahojiano @TheSporahShow
- Scholarship tip from Makulilo - Looking for funds
- Mauaji ya Profesa Mwaikusa: Zaibuka ‘siri’, Zaanikwa
- Kenya: Mawaziri wapitisha muswada tata wa kubadili sheria ya ndoa
- Hiki kitanda kinapatikana wapi?
- Ripoti ya UNESCO: Elimu ni kikwazo kwa ustawi wa vijana Tanzania
- “Sijakubaliana na maamuzi ya leo ya Spika kuhusu...” @JJMnyika
- Tanzania: Kwa nini wanafariki mapema baada ya kustaafu?
- CIA director, David Petraeus quits after extramarital affair
- Cartoonists take on Obama
- Uzinduzi wa Shindano la Kusaka Mabingwa wa Kero kwa Wateja
- “Tumpunguzie Mzigo Mh. Raisi kwa kumvua kofia ya Uenyekiti wa CCM”
- Ilemela: Meya - Henry Matata (CHADEMA); Naibu - Swila Dede (CCM)
- Bango pekee lililokuwepo wakati Rais Kikwete anazindua bomba la gesi
wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 17
Written By Mike Ntobi on Friday, November 09, 2012 | 11:26 PM
wavuti.com: Muhtasari wa taarifa mpya 17 |
- Ridhiwani Kikwete, Bakhresa, Magari, Dewji kuiongoza Serengeti Boys
- audio: Ripoti ya tuhuma za rushwa kwenye Kamati ya Nishati na Madini
- Wadau wa elimu Chato wailalamikia elimu ya awali
- Mkakati wa utangazaji Utalii kuzinduliwa Novemba 15, 2012
- Vodacom Tanzania LIVE Chat Event with Kelvin Twissa
- Kariakoo... Ijumaa... siku hizi...
- EWURA mpo? Price gouging stations after hurricane Sandy to be fined at least 10K
- video: Emotional Pres. Barack Obama sheds tears
- Seven SEALs punished for secrecy breach
- Sheria za Marekani: Oklahoma police fine 3 yr old for peeing in their own yard
- Obama re-election consequences: Las Vegas CEO fires 22 Workers
- Sheikh Mukadam aunganishwa kwenye kesi ya Sheikh Ponda
- Sheikh Mukadam aunanishwa kwenye kesi ya Sheikh Ponda
- Taarifa ya Habari Novemba 8, 2012
- Wizara ya Elimu yaingilia kati Shule iliyofungwa, Magambani
- audio & text: Hoja ya @ZittoKabwe, Michango ya Wabunge kuhusu Watanzania walioficha fedha na mali haramu nje ya nchi
- Habari ya Mwanaume na Mwanamke walionasana sehemu za siri
Ridhiwani Kikwete, Bakhresa, Magari, Dewji kuiongoza Serengeti Boys Posted: 09 Nov 2012 12:07 PM PST SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania limeteua wadau 10 kwa ajili ya kusaidia timu ya taifa ya vijana walio na umri chini ya miaka 17, Serengeti Boys itakayopambana na Congo (Brazaville) katika mechi ya raundi ya tatu ya michuano ya awali ya Mataifa ya Afrika. Uteuzi huo umefanywa na Rais wa TFF, Leodegar Tenga baada ya Kamati ya Vijana ya TFF... ...click the title/link to read more. |
audio: Ripoti ya tuhuma za rushwa kwenye Kamati ya Nishati na Madini Posted: 09 Nov 2012 01:37 AM PST Eliakim Maswi Tafadhali bofya kifute cha pleya hapo kumsikiliza Spika wa Bunge, Anne Makinda akisoma Bungeni leo, ripoti ya Kamati Ndogo ya Bunge iliyochunguza kashifa iliyomhusisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini na Nishati, Eliakim Maswi akiwatuhumu baadhi ya Wabunge kula rushwa kutoka kwenye makampunmi ya mafuta. Baada ya kusoma ripoti, Spika... ...click the title/link to read more. |
Wadau wa elimu Chato wailalamikia elimu ya awali Posted: 09 Nov 2012 01:11 AM PST Taarifa na Daniel Limbe, Chato LICHA ya serikali kuhamasisha uanzishwaji wa elimu ya awali katika shule zote za msingi hapa nchini kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kimaarifa watoto ambao hawajafikia umri wa kuanza elimu ya msingi,hatua hiyo imeonekana kulalamikiwa sana na baadhi ya wadau wa elimu katika wilaya ya chato mkoani geita kutokana na... ...click the title/link to read more. |
Mkakati wa utangazaji Utalii kuzinduliwa Novemba 15, 2012 Posted: 09 Nov 2012 01:08 AM PST Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki akizungumza katika dhifa hiyo kabla ya kukabidhi tuzo kwa makampuni yaliyofanya vizuri katika kuuza na kutangaza utalii wa Tanzania, wa pili kutoka kulia ni Balozi Peter Kallaghe watatu kutoka kulia ni Issa Ahmed Othman Mshauri wa Rais Zanzibar Masuala ya Utalii na kulia ni Bw Yusuf Kashangwa... ...click the title/link to read more. |
Vodacom Tanzania LIVE Chat Event with Kelvin Twissa Posted: 09 Nov 2012 12:35 AM PST |
Kariakoo... Ijumaa... siku hizi... Posted: 08 Nov 2012 11:33 PM PST |
EWURA mpo? Price gouging stations after hurricane Sandy to be fined at least 10K Posted: 08 Nov 2012 11:31 PM PST New Jersey officials say investigators are looking into around 100 complaints of price gouging at gas stations, hotels and other stores that sell necessities to storm victims. Judge Andrew Napolitano said on Studio B today that businesses caught by investigators unfairly raising prices are fined heavily. If the person fined wants to appeal the... ...click the title/link to read more. |
video: Emotional Pres. Barack Obama sheds tears Posted: 08 Nov 2012 09:45 PM PST President Barack Obama wipes away tears as he thanks members of his campaign staff and volunteers. Obama's campaign released a five-minute video of the president's address Wednesday to members of his staff at his Chicago headquarters. The short speech came a day after he won re-election. The president talks about his work as a community... ...click the title/link to read more. |
Seven SEALs punished for secrecy breach Posted: 08 Nov 2012 07:56 PM PST WASHINGTON (AP) -- A senior defense official says seven members of the secretive Navy SEAL Team 6, including one involved in the mission to kill Osama bin Laden, have been punished for allegedly disclosing classified information. The official, who discussed the matter on condition of anonymity because of the sensitive nature of the case, says the... ...click the title/link to read more. |
Sheria za Marekani: Oklahoma police fine 3 yr old for peeing in their own yard Posted: 08 Nov 2012 07:24 PM PST Dillan Warden, the little guy who had to go OKLAHOMA CITY, OK (KCTV/KWTV) -As the saying goes, "boys will be boys," but the mother of a 3-year-old balked at paying $2,500 for what her toddler did in his front yard. Children who are potty training will go to the bathroom when they want to go, but for Dillan, he decided to be a big boy... ...click the title/link to read more. |
Obama re-election consequences: Las Vegas CEO fires 22 Workers Posted: 08 Nov 2012 07:05 PM PST LAS VEGAS (CBS Las Vegas) — A Las Vegas business owner with 114 employees fired 22 workers today (Thursday, November 8, 2012), apparently as a direct result of President Obama's re-election. "David" (he asked to remain anonymous for obvious reasons) told Host Kevin Wall on 100.5 KXNT that "elections have consequences" and that "at the end of the... ...click the title/link to read more. |
Sheikh Mukadam aunganishwa kwenye kesi ya Sheikh Ponda Posted: 08 Nov 2012 06:25 PM PST Habari imeandikwa na Happiness Katabazi KIONGOZI wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Mukadam Abdal Swalehe (45), jana alijikuta akifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, akiunganishwa katika kesi ya jinai Na.245/2012 inayomkabili Katibu wa Jumuiya hiyo, Sheikh Issa Ponda Issa na wenzake 49 wanaokabiliwa na makosa... ...click the title/link to read more. |
Sheikh Mukadam aunanishwa kwenye kesi ya Sheikh Ponda Posted: 08 Nov 2012 06:25 PM PST Habari imeandikwa na Happiness Katabazi KIONGOZI wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Mukadam Abdal Swalehe (45), jana alijikuta akifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, akiunganishwa katika kesi ya jinai Na.245/2012 inayomkabili Katibu wa Jumuiya hiyo ,S heikh Issa Ponda Issa na wenzake 49 wanaokabiliwa na makosa... ...click the title/link to read more. |
Taarifa ya Habari Novemba 8, 2012 Posted: 08 Nov 2012 06:22 PM PST |
Wizara ya Elimu yaingilia kati Shule iliyofungwa, Magambani Posted: 08 Nov 2012 06:22 PM PST Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imeingilia kati mgogoro ulioibuka katika Shule ya Sekondari ya Bagamoyo kwa kuagiza viongozi wa Idara ya Elimu ya Wilaya ya Bagamoyo kupeleka ripoti kuhusu chimbuko la migogo hiyo ili wizara iweze kuchukua hatua haraka. Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Phillipo Mulugo, Mulugo alisema baada ya wizara yake kupata... ...click the title/link to read more. |
Posted: 08 Nov 2012 06:10 PM PST |
Habari ya Mwanaume na Mwanamke walionasana sehemu za siri Posted: 08 Nov 2012 06:03 PM PST Jana siku ya Alhamisi, Novemba 8, 2012, zilitolewa taarifa kuwa wapo watu wamefikishwa katika hospitali ya Temeke, Dar es Salaam baada ya viungo vyao vya uzazi kushindwa kuachana walipokuwa wakitenda tendo la ndoa. Habari hiyo ikasambaa kwa kasi na kadiri watu walivyokuwa wakidai kuona walao picha ya tukio hilo, wapo watu waliodiriki kueneza... ...click the title/link to read more. |
You are subscribed to email updates from Wavuti Updates To stop receiving these emails, you may unsubscribe now. | Email delivery powered by Google |
Google Inc., 20 West Kinzie, Chicago IL USA 60610 |